Jibu ni
ndio , kwanini tunasema ndio basi ungana nami katika Makala hii niliyo
kuandalia siku ya leo ili utambue fursa yako ni ipi ukiwa na computer yako ya
nyumbani .
Vijana
wengi wanapo kuwa na computer zao wanaishia kusikiliza music, Kuangalia videos
pamoja na kucheza games tu hawatambui kwamba kupitia computer yako ya nyumbani
unaweza ukatengeneza pasa pasipo kuwa na kipato chochote.
Nitakudokeza
njia mbalimbali wewe kijana kama mwanafunzi au kijana wa nyumbani tu, Kwa leo
nitakudokeza jinsi ya kutengeneza pesa kwa ku tengeneza kalenda yenye muonekano
mzuri na tofauti tofauti unao weza kumfanya kila mtamazaji apende kuitazama na
hata kuinunua
Kutengeneza
kalenda hakuitaji elimu kubwa sana wala kipato kikubwa sana ni wewe tu na
juhudi zako na kujituma kwako ,Utaweza kuanza kuandaa kalenda yako kwa kutumia
program ya Microsoft publisher iliyopo katika package yako ya Microsoft office
katika computer yako
Vile vile
unaweza kutumia program kama
Adobe photoshop
Microsoft office
Adobe
photoshop itakusaidia katika kuandaa picha na kuziweka katika mitindo mbali
mbali
Jinsi ya kufungua Microsoft
publisher nenda katika uwanja wako wa start button katika computer yako
Bofya all programs
Bofya katika package yako ya
Microsoft office baada ya hapo chagua Microsoft office publisher
Baada ya
kufungua itaonekana kama picha inavo onesha hapo chini
Itakuwa
rahisi Zaidi kwako kama utatumia Microsoft office 2013 package kwasababu kuna
template nzuri na za kisasa
Baada ya
kudisign calender yako utaweza kuweka picha za aina mbali mbali kama picha za
familia, za marafiki, makampuni na za shule pia kama uatakuwa umepata oda na
mtu basi utaweza kumsikiliza yeye anahitaji picha ya aina gani
Utaweza
kujifunza Zaidi na Zaidi namna za kufanya ili uweze kutengeneza calender yako
basi unaweza kupata mafunzo mbali mbali na hlmservice kuanzia sasa
Kama
unahitaji kujua Zaidi unaweza kuwasiliana nami moja kwa moja kwa mawasiliano
yafuatayo
+255765327325
henrylameck@gmail.com
No comments:
Post a Comment