Imekuwa
shughuli pevu kwa vijana wengi kupata ajira siku hizi ,Wengine wanakaa
wakisubiri fursa ziwadondokee kama mvua ,wengine wanajishughulisha kuzitafuta n
ahata kubuni namna ya kuzitengeneza ,Tunaona kwamba fursa fursa hizi zina kuja
katika sura ya tofauti tofauti ,nyingi huwa ni biashara ndogo ndogo
na nyingine hukua zikawa biashara bab kubwa !
Ila,
tunasho shindwa kukielewa kama vijana ni kwamba biashara hazidondoki kutoka
hewani ,hata kama una mtaji mkubwa ,kuna kitu ambacho wataalamu wanakiita nia
thabiti katika ujasiliamali,ambacho wengi wetu ama hatukifahamu au tunashindwa
kukiona,
Kuna
tofauti kubwa sana kati ya mfanya biashara na mjasiliamali ,Ujasilia mali ni
dhana “inayotujengea uwezo sisi vijana
kujitengenezea ajira na kuwatengenezea wengine fursa za ajira” Hatimaye
tunachangia katika kuondoa umaskini katika maisha yetu na hata katika yaw
engine
Ukifungua
katika kamusi ya kimombo utaona kwamba neon ‘entrepreneurship’ yaani ujasiliamali
limetokana na neon enterprise” neon ambalo lina maana lukuki ambazo zina
ashiria sifa za vijana ,kama shauku
,uwezo,ari,kujituma,kuvumbua,ujasiri,bidi,malengo,enye nguvu,enye
kuthubutu,enye uzima na mengine mengi,
Je, wewe
ni mjasiriamali au ni mfanya biashara
Ukweli ni
kwamba kila mjasiriamali ni mfanya biashara ila sio kila mfanya biashara ni
mjasiriamali,Mjasiriamali ni mfanya biashara
ambaye aridhishwi na juhudi alizokwishazifanya katika shughuli zake na
kila mara anakuna kichwa kubuni njia zingine zitakazo mwezesha kukua
kimaendeleo.
Fursa ni
yako sasa wewe kama kijana kujiajili na sio kukaa tu nyumbali kusubiri mazali
ya kazi”
No comments:
Post a Comment