Unaweza
kujitengenezea kipato wewe mtanzania kwa kujiajili katika shughuli mbalimbali,Sio
lazima uajiliwe katika makampuni makubwa ama serikalini ama mahala popote bali
unaweza ukabuni namna yoyote ya kutengeneza kipato na kutimiza ndoto zako,
Kwako mwanafunzi unae maliza chuo sasa ama uliepo nyumbani tu una computer yako
ila una shindwa utaanza vipi kujikimu kimaisha hii ni fursa yako sasa kujua
jinsi ya kuandaa Operating system (OS) na kufanya installation katika Computer yoyote.
Kuna
njia mbali mbali za kuweza kuweka Operating system (OS) katika computer yako
leo nitakupa Njia mbili ambazo ni rahisi Zaidi kwako.
Katika
njia zote hizo ni kwajili ya Windows 7 zote pamoja na Windows 8 zote
VIFAA VYA KUWA NAVO KABLA HUJAANZA CHOCHOTE
Kwa njia ya kwanza hakikisha una
flash Drive ambayo itakulazimu uifanye kuwa bootable bila ya kufanya hivo
itakuwa sio rahisi kukamilisha zoezi lako isipo kuwa kama computer yako itaweza
ku boot hivo hivo,Je utaifanya vip Flash yako iweze ku boot
POWER ISO
Power Iso ni software inayo weza
kukusaidia kutengeneza flash iweze ku boot unaweza kupata software hiyo kwa
kubofya hapa http://www.poweriso.com/thank-you.htm
Kabla ya kuaandaa flash yako kumbuka
window 7 au 8 itakuwa katika muonekano huu
Hakikisha ina kuwa katika mfumo
wa image kama picha inavo onesha hapa chini
Baada ya kufungua software ya
power Iso copy mafile ya windows na paste katika uwanja wa power iso the uta save
file yako as (.Iso) image utakuwa umebadilisha
ANDAA FLASH IWEZE KU BOOT KATIKA COMPUTER
Fuata hatua zifuazazo
Juu
kabisa ya software nenda katika uwanja umeandikwa tools bofya hapo
itakuja menu ina vitu vingi wewe utachagua create bootable Usb Drive
itafunguka box hii hapa
Wakati
huo umechomeka flash yako katika Computer hatua inayo fuata ni ku bofya
mahali pameandikwa image source file mahali ulipo save image yako ya
window itakuletea window zote zilizo katika mfumo wa image kama hivi
Chagua
window unayo taka then Bonyeza Start Button Software itafanya kazi yake
mpaka mwisho itakuambia ume fanikiwa sasa una weza ukaweka flash katika
computer yoyote na kuweka wendow bila shida.
JINSI YA KUINSTALL WINDOW KATIKA COMPUTER YAKO BAADA YA KUANDAA FLASS
Weka Flash yako katika computer
alafu zima computer yako baada ya hapo washa ,kabla computer haijawaka press
button F12 juu kabisa ya computer yako au minya escape
Baada ya hapo computer itakudai
unataka kuboot toka wapi basi chagua mahali pa usb and flash drive uweze ku
boot flash yako. Hapo window itafanya installation hadi mwisho kabisa na hatua
zingine ni za kawaida tu kuset password pamoja na kuandika user name ya computer.
JINSI YA KU INSTALL
LINUX KATIKA COMPUTER
Kuna software mbali mbali zinazo
weza kusaidia kutengeneza flash yako iweze ku boot linux katika flash yako
Unetbootin-windows-585, Ni moja
ya software nzuri na rahisi kukusaidia kutengeneza flash yako iweze ku boot
linux
Ni rahisi kutumia kuliko Power iso lakin hakikisha linux yako iwe katika mfumo wa image
Asante sana ndugu msomaji
Asante sana ndugu msomaji
Mimi mwandishi wako henry
Lameck unaweza wasiliana nami moja
kwa moja katika email yangu hapa chini
pia +255765327325
+255766518985
No comments:
Post a Comment